WAKALA WA TAIFA WA MBEGU ZA MITI
Vijarida vya mbegu
Jinsi ya kununua mbegu
Orodha ya majarida yahusuyo mbegu
Mafunzo na Ushausri
 
HOME
 

UTANGULIZI
Wakala wa Mbegu za Miti (Tanzania Tree Seed Agency- TTSA) ni Wakala wa Serikali chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyoanzishwa mnamo tarehe 23/01/2003 kwa mujibu wa Sheria ya Wakala wa Serikali Na.30 ya Mwaka 1997 ikiwa na na jukumu la kuwezesha upatikanaji endelevu wa mazao ya misitu na utunzaji wa mazingira kwa kuzalisha, kukusanya na kusambaza mbegu bora za miti na vipandikizi vingine kwa ajili ya miti ya matumizi mbalimbali. Soma zaidi na .. html Pdf


           
Rudi Mwanzo
Mawasiliano na wakala
 
 
 
  Vijarida vya mbegu    
  Jinsi ya kununua mbegu  
Orodha ya majarida
Miche ya mitiki /misaji
Mafunzo na Ushauri  
 
   
ORODHA YA BEI ZA MBEGU
 
     
Orodha A - B
Orodha B - E
Orodhal E - L
Orodha M - P
Orodha R - Z
Dhamira
Mikakati ya Wakala ni kama ifuatavyo;
Kuzalisha na kusambaza mbegu bora za miti pamoja na vipandikizi vinginevyo kwa ajili ya matumizi mbalimbali.
Kutoa ushauri wa kitaalamu jinsi ya kuotesha mbegu na kupanda vipandikizi vingine vinavyozalishwa na kusambazwa na Wakala.
Kuimarisha Wakala ili iweze kujiendesha kwa mafanikio na kwa kujitegemea.Malengo Muhimu
Kutafuta na kuanzisha vyanzo vipya vya mbegu kwa kutumia vipandikizi bora ili kuboresha uzalishaji wa mazao ya misitu na utunzaji wa Mazingira.
Kuboresha ukusanyaji,ubanguaji,usafirishaji,uhifadhi na uoteshaji wa aina 130 wa mbegu za miti..
Kutoa elimu kwa wateja jinsi ya kuotesha mbegu zinazosambazwa na Wakala.
Kuandaa na kusambaza taarifa sahihi za kiufundi kuhusu bidhaa za wakala wa mbegu za miti Tanzania (TTSA) kwa wateja wadogo na wakubwa
.. Maelezo ya ziada  
pdf
 
Mwanzo
Vijarida vya mbegu
Jinsi ya kununua mbegu
Orodha ya majarida yahusuyo mbegu
Mafunzo na Ushauri
 
HOME
     
                                               
ORODHA YA BEI ZA MBEGU
Orodha A - B
      Orodha B - E   Orodha E - L   Orodha M - P   Orodha R - Z